MUNZEZE WAHITAJI SOKO LA UHAKIKA LA ZAO LA MUHOGO

Maeneo mengi hapa nchini wanalima zao la muhogo kwa wingi kwa kuwa zao la muhogo ni zao ambalo linakubali mahali popote na lina uwozo mkubwa wa kuvumilia ukame kijiji cha munzeze kilichopo katika Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma  ni miongoni mwa vijijini hapa nchini vinavyo lima zao hili la muhogo kwa wingi.

Wakulima wa zao hili muhogo katika kijiji hiki cha munzeze wamekuwa wakitegemea sana zao hili kwa kuendesha mazao yao,changamoto kubwa wanayo kutana nayo baada ya kuvuna zao hili ni jinsi ya kuhifadhi kwani wamekuwa wakitumia njia duni katika kuhifadho mihogo yao.

Baada ya kuvuna mihogo uimenya na  kuianika juu ya dari za nyumba au pembezoni mwa mto ambazo njia hizo si salama kwani zinaweza kuhatarisha afya ya mlaji hapo baadae.

Wakulima wa zao hili wanaomba serekali ipeleke wataalamu wa kilimo kijijini hapo ili waweze kuwapatia elimu sahihi juu ya kuhifadhi zao hili la muhogo kwakuwa zao hili ndo mkombozi wao na soko lao kuu ni Burundi na Congo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: